Msanii Steve Nyerere akiwa kazini...
Kazi ikisonga mbele...
Picha ya pamoja na Mama Nyerere
Kazi ikisonga mbele...
Kijana mdogo anayekuja kwa kasi katika tasinia ya filamu nchini Tanzania
Steven Mengere(Nyerere).
Hanakuja na mzigo mpya unaoitwa Respect Of Nyerere ni story inayozungumzia maisha ya mwalimu Nyerere na hapa wakiwa na mama Maria Nyerere wakipata mawaidha kabla ya kuanza shooting uko Butihama
0 comments:
Post a Comment