Wednesday, February 29, 2012

.........SINA MIMBA JAMANI.......

OMOTOLA Jalade Ekeinde, amewashangaa watu wanaomwandika kila leo kwenye magazeti wakidai ana ujauzito.
Mke huyo wa rubani, Mathew Ekeinde, ana watoto wanne na alitimiza umri wa miaka 34 Februari 7. Msanii mwingine anayefikisha miaka 34 ni Stella Damasus ambaye atautimiza mwezi Aprili mwaka huu.
Msanii huyo alilazimika kukanusha habari za ujauzito kutokana na kuandamwa na mashabiki wake kwenye Facebook na Twitter wakitaka kujua ukweli wa maneno yanayosemwa.
Hakuna kitu kama hicho na hata kama kipo mimi ni mke wa mtu.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms