Tuesday, February 28, 2012

.........ORIGINAL COMEDY NA KISANGA CHA KUSAMBARATIKA......Baada ya stori kuenea kwamba kundi la ORIJINO KOMEDI la TBC1 limesambaratika, producer wa kundi hilo David Seki.
Seki amesema “Actually hivyo vitu ni mazungumzo tu ya watu, mambo yetu sisi huwa hatupendi kuyazungumza hadharani, watu wako likizo baada ya muda watarudi hewani, ukienda kwenye website yetu huwa tunaandika kila kinachoendelea, hizo taarifa hazina ukweli wowote”
Hata hivyo kwenye website yao, kuna tangazo linasema Orijino Komedi na timu nzima itakua likizo kwa mwezi january 2012 tu, baada ya hapo watarudi kazini.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms