Thursday, February 16, 2012

.........MISS TANZANIA YAPATA MDHAMINI MPYA........

Baada ya mkataba wa VODACOM kuisha kuidhamini Miss TANZANIA, Kampuni inayohusika kuandaa mashindano hayo leo imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya bia Tanzania TBL kupitia kinywaji chake cha REDDS kama mdhamini mkuu.
Boss wa LINO AGENCY Hasheem Lundenga amesema kutokana na mdhamini huyu mkuu kutakua na mabadiliko makubwa ikiwemo zawadi kuwa kubwa zaidi kuliko zilizopita.
Lundenga amesema wakati huu watafanyia kazi pia maeneo ambayo yamekua na mapungufu kwenye mashindano yaliyopita

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms