Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Longido Edward Lowasa (kushoto) akijadili jambo na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wasira (katikati) na mbunge wa viti maalum CHADEMA Leticia Nyerere leo mjini Dodoma.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi (katikati) akifurahia jambo na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (kulia) maarufu kwa jina la Sugu (CHADEMA) na mbunge wa Kigoma mjini Peter Selukamba (kushoto) nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment