Saturday, February 11, 2012

........HATIMAE BEYONCE & JAY Z WAWEKA WAZI PICHA ZA MTOTO WAO......


Picha ya juu na chini ni Baby girl Blue Ivy.
Japo watu wengi walitarajiwa Bayonce na Jay z wangeziuza kwa mamilioni ya dola picha za mtoto wao kama alivyofanya J.Lo, wawili hao wameamua kuzitoa bure picha hizo kupitia website yao.
Baba na mwana.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms