Friday, February 3, 2012

..........BONGO MOVIES VS WANAMZIKI WA DANSI KUKIPIGA JUMAPILI KUCHANGIA WAATHILIKA WA MAFULIKO......

Mkurugenzi Mtendaji wa Compact Media Company, Eliya Mjatt Timu meneja wa timu ya wanamziki wa dansi, Mwijuma Muhumini 'Kocha wa Dunia' (kushoto) wakizungumza na wahandishi wa habari, Dar es salaam leo kuhusu mechi yao ya hisani na wachekeshaji na waigizaji 'Bongo Movies' kwa ajili ya kuchangia waathilika wa mafuriko, utakaofanyika jumapili katika uwanja wa taifa kulia ni Kocha mchezaji wa timu ya 'Bongo Movies' Chiki Mchoma

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms