Facilitator Mr William (MOF) na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Alice Foundation ambaye ndiye mwandaaji wa Training ya MKUKUTA
Alice Foundation ikishirikiana na Wizara ya Fedha iliandaa mafunzo ya MKUKUTA kwa volunteers , watendaji wa serikali za mtaa na mwenyekiti katika serikali za mtaa kata ya Ubungo. wajasiriamali pia walikuwepo katika mafunzo hayo.
0 comments:
Post a Comment