HABARI zinadai kuwa ajali za pikipiki huko Bukoba ni tishio kwa wananchi. Mwananchi ambaye tuliweza kuongea naye alidai kuwa ajali za pikipiki zinazidi kuongezeka kila kukicha kiasi kwamba zinatishia maisha ya wana-Bukoba. Picha hapo juu ni ajili iliyotokea saa mbili usiku jana. Habari zinadai kuwa Lori hilo lililokuwa limepakia matofali ya kuchoma lilipogongana uso kwa uso na pikipiki hiyo maeneo ya kijiji cha Kibeta.
0 comments:
Post a Comment