Wednesday, January 18, 2012

......WHO IS A LOSER KATI YA DIAMOND NA JOKATE????........WHO IS A LOSER???? Ni swali ambalo nimeulizwa na wadau wa blog hii, kuwa kati ya Diamond na Jokate, who is a loser??? Nimeshindwa kulijibu. kwa maana hiyo swali hilo nimeamua kulileta kwenu wadau na wapenzi wa blog ya wajanja muniandikie maoni yenu kuhusu swali hili. Vitgezo vya kuzingatia ni kwamba nani ni msafi kwenye macho ya watanzania kati ya wawili hawa. Na je siku wamepigana vibuti nani atakuwa loser kati yao????? Plesase tupe maoni yako.....

2 comments:

Anonymous said...

wooooooooote

Anonymous said...

i think both of them are winners, if they truly love each other.

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms