MSANII Kanumba amefunguka na madai mazito kuwa hawezi kurudiana na Wema kwani mapenzi yao yaliisha enzi zile. Huku akionyesha kushangazwa na baadhi ya maneno yanaoenezwa na watu mitaani kuwa Kanumba yuko mbioni kurudiana na Wema Sepetu. Alikanusha kaukau maneno hayo Kanumba alisema kuwa hawezi kurudiana na Wema. 'Jamani naomba mnielewe kuwa siwezi kurudiana na Wema tena'.......Alisema Kanumba........
2 comments:
hunas issue we wajanjaclub kazi yako ni copy & paste afu sasa unachelewa sasa kama huna issu ya kuandika si uache tu kuwa makini
uamuzi mzuri maana huyo wema kashatembea na wnaume karibia kumi so hana ladha tena
Post a Comment