Thursday, January 12, 2012

.........SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.......Ama kweli, Rehema fabiani pichani juu, hakunaga kitu kichwani kwake. Hivi karibuni baada ya mrembo huyo kuapa kuachana na kinywaji aina ya pombe, majuzi mrembo huyu alinyakwa akiwa haihoi huku hajitambui wala nini. Wadau wansema kuwa mrembo huyu kama hatabadilika atakuwa na maisha ya shida sana huko usoni...... REHEMA tunakushauri umrudie mungu wako......

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms