... Jay Mo na Mchizi Mox wakiwasha moto katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Msanii wa kizazi kipya Jay Mo na Jaffarai wakitema fire katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wakipagawishwa.....Mikono juuuuu
Sir Juma Nature akiliongoza kundi lake la Wanaume Halisi kutoka Temeke.
Wooooow
Jamani
Heheheheheh
Shilole naye akifanya mabo yake....
Inahitaji moyo....
Walai mtume.......mimi sisemi, ila HAKUNAGA ulafi.....
0 comments:
Post a Comment