Wednesday, January 4, 2012

......LOL SKYPER ATAMANI KUTEMBEA UCHI.......

HALEHALE!!! Ughaibuni unazidi kuingia kwa kasi nchini. MSANII mwenye umbo la utata katika tasnia ya filamu bongo Skyner Ally maarufu kama Skyner, amefunguka na kusema kuwa mwili wake ulivyo mnene unamfanya awe katika wakati mgumu huku muda mwingine anatamani kuvua nguo na atembee mtupu kutokana na joto lililopo kwa sasa jijini. Alisema mwili wake ni mnene hivyo mara nyingi amekuwa akishinda sehemu yeye ubaridi.
Skyner alisema hata hivyo analazimika kuvaa nguo zisizobana ili kuruhusu hewa iweze kufanya kazi vizuri ndani ya mwili wake kwani bila kufanya hivyo anaweza kuumia sana au kutoka vipele vya joto.
Aidha wadau wengi wa tasnia ya filamu nchini baada ya kusikia kutoka kwa Skyper walifunguka nakusema kuwa hata kabla ya joto msanii huyu amekuwa akivaa mavazi yasiyokuwa na SONI kwenye macho ya Watanzania.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms