Tuesday, January 24, 2012

.........JUST IN: BODABODA ZATUMIKA KUSAFIRISHA MAITI BUKOBA.......


UHABA wa magari ya kubebea maiti mjini Bukoba umepelekea wananchi kubuni mbinu mpya ya kusafirisha maiti kwa kutumia BodaBoda. Kama unavyoona picha hapo juu mwananchi akisafirisha maiti kwa BodaBoda... Hali hii inasikitisha sana....

2 comments:

Anonymous said...

Hali hii inatisha,serikali haipo huko nini?
Mungu wasaidie watu hawa.

priss said...

nawaonea huruma serikali yetu kweli wizi mtupu

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms