Monday, January 2, 2012

......ALBUM HAZILIPI KABISA......

MSANII mkali wa muziki wa bongo fleva, ALIKIBA amefunguka, na kusema kuwa anafikiria kuachana kabisa na kutoa albamu ili aanze kutoa Single moja moja ambazo anaamini zitaweza kuuza vizuri zaidi.
Alisema kuwa suala hilo analifanyia mchakato ili kabla ya kuchukua maaumuzi awe amejua madhara yake ambayo yanawewza kutokea.
“Nataka kufanya hivyo lakini siwezi kuchukua maamuzi ya haraka kwani kila kitu kinahitaji uchunguzi ili kujua madhara yanayoweza kutokea hapo baadae,” alisema.

1 comments:

priss said...

uko juu bab uko juu kama mti wa mnazi

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms