Baadhi ya Wasanii wa kike wa Filamu Tanzania waliandaa sherehe ndogo ya chakula cha mchana na vinywaji kidogo na kuwaalika ndugu na jamaa na baadhi ya wasanii kuja kula na kuburudika pamoja.Wasanii hao wa kike walioandaa sherehe hiyo ni Cathy Rupia,Odama,Rachel Haule,Dada Eriethy,Devotha,Mayasa Mrisho,Malisa na kadadaa, Hao ndio kinadada waliofanya party hiyo lakini bila kuchelewa wasanii wa kiume nao waliichangamkia sherehe hiyo na kujumuika pamoja na dada zao.Hakika ilipendeza mpaka mwisho wa sherehe kila mtu aliondoka kivyake.Sherehe hii ilikuwa ndani ya Lamada Hotel
0 comments:
Post a Comment