Monday, September 5, 2011

.......ROSE ALBERT NDIYE VODACOM MISS TALENT 2011........

Mrembo Rose Albert akionyesha kipaji chake katika siku ya kumtafuta Vodacom Miss Talent 2011 ambapo alifanikiwa kunyakua taji hilo, katika hotel ya Giraffe jijini Dar es Salaam
Majaji wa shindano la Vodacom miss Talent 2011 wakiwa kazini,kutoka kushoto Jacqueline Walper, Rachel Sindbard, Bosco Majaliwa.

Warembo tano bora waliofanikiwa kuingia katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss talent 2011 ambapo Rose Albert (watatu toka kushoto) alifanikiwa kunyakua taji hilo katika hotel ya Giraffe jijini Dar es Salaam.
Vodacom Miss Talent 2011 Rose Albert akiwapungia mkono watazamaji mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms