Tuesday, September 6, 2011

.......KIMAMA ZAIDI - IRINE UWOYA......


Irene Uwoya Ndikumana akiwa kimama zaidi na mwanaye Krish katika maeneo ya Sinza alipokuja kumtembelea rafiki yake Johari akiwa kazini.Mwanzo Irene alikuwa anamficha mtoto wake asionekane mbele za watu lakini sasa kaamua kumuweka hadharani.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms