Tuesday, September 6, 2011

.........HARUSI YA STAR WA NOLLYWOOD, MERCY JOHNSON YAFAANA......







Kushoto ni muigizaji EMEKA IKE akiingia na kulia ni muigizaji wa Ghana Michel Majid wote walikuepo.
 
Comediana mfupi Nollywood Chinedu Ikedieze na mchekeshaji wa jukwaani AY.
Msanii 2shots(kushoto)akiwa na muigizaji Mike Ezuruonye harusini
 
GENEVIEVE NNAJI akitoa wosia wake kwa Mercy,Genevieve ndiye aliyemfanya Mercy aingie katika uigizaji na miaka yote Mercy humuona Genevieve kama mwalimu wake katika sanaa hii.


Harusi ya muigizaji maarufu wa Nigeria MERCY JOHNSON OZIOMA na mmewe PRINCE ODIANOSEN OKOJIE iliyofungwa jumamosi iliyopita katika kanisa la CHRIST EMBASSY mjini Lagos ilifana sana na kuhudhuriwa na mastaa wengi wa Nollywood hivyo kuvunja rekodi.Kabla ya harusi hii kufungwa kulikuwa na mgogoro mkubwa kati ya mke wa zamani wa PRINCE ODIANOSEN ajulikanae kama LOVELYNE OKOJIE aliyetoa pingamizi kuwa alishaolewa na hajaachwa pia amezaa nae watoto wawili na picha zao akatoa,lakini mambo yaliwekwa sawa na harusi ikafungwa vizuri tu.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms