Saturday, July 23, 2011

.....TIFUTIFU NA SONGOBINGO LATOKEA INDIA ......CHUI AUA ATU ZAIDI YA 11,.......

Habari zinasema kuwa nchini India lilitokea Songobingo la kufa mtu siku ya Jumanne baada ya CHUI mmoja kushambulia watu kadhaa na kufanikiwa kuua zaidi ya watu 11, Balaa hili lilitokea katika kijiji cha Siliguri cha nchini India. habari zinadai kuwa askari polisi nchini humo walipata wakati mgumu pale walipojaribu kumdhibiti chui huyo....

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms