Wednesday, July 13, 2011

........PICHA ZA UTUPU ZAMCHEFUA MCHUMBA WAKE......

Picha za utupu za mwanamitindo Brand Vonne (pichani) zimetokea kumchefua mchumba wake ampendaye, habari zinasema kuwa jamaa huyu amemwijia juu mpenzi wake huyo kwa picha za utupu alizopiga kama sehemu ya kazi yake, Duru za kimapenzi zinasema kuwa Jamaa huyu yuko kwenye mikakati ya kumwacha mchumba wake huyo (Brand Vonne). Hata hivyo mrembo huyu anajitahidi kufanya mikakati ya kuwatuma rafiki zake wa karibu ili wakamweke sawa mchumba wao huyo. Yeye binafsi Brand Vonne amejitokeza na kusema kuwa hayupo tayari kumpoteza mchumba wake huyo kwa sababu anampenda sana, na akaongeza kuwa yuko tayari kufanya lolote ili ahakikishe kuwa anabaki kwenye himaya yake...

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms