Monday, June 20, 2011

....BATAZ ZA RONALDO NA IRINA.......




Habari zilizotufikia zinasema kuwa Cristiano Ronaldo na Irina Shyk wanakula maisha kwa kwenda mbele, Habari zinasema kuwa bataz kwa wawili hawa ni kitu cha kawaida sana. Kama walivyokutwa na kamera nchini Marekani wakifurahia maisha kwa pamoja moja kati ya pool za jijini Los Angeles. Hata hivyo habari zilizosambaa duniani kote ni kwamba Irina Shyk amepiga picha za utupu hivi karibuni kama sehemu ya kazi zake... Mwanamitindo huyu wa nchini Urusi amepiga picha hizo kwa ajili ya maonyesho makubwa ya nguo za kuongelea........

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms