Monday, October 8, 2012

........USIACHE KUNUNUA KITABU CHA "MAPITO"........


MAPITO ni kitabu chenye simulizi ya kweli na ya kusisimua inayohusu maisha ya kijana mmoja yatima aliyekulia katika maisha duni sana kiasi kwamba kuna wakati ilikuwa vigumu kwake hata kupata mlo mmoja wa siku.  Wakati wa msimu wa maembe aliweza kushindia maembe, na wakati huu ndio wakati pekee aliokuwa na uhakika wa chakula.
Lakini baadaye kijana huyu alifanikiwa kuvuka katika dimbwi  hilo la umasikini. kujua mtumbwi alioutumia katika kuvuka kwenye dimbwi hilo la umasikini usiache kununua kitabu hiki.
KIKO KWENYE MADUKA YA VITABU TANZANIA NZIMA.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0715 199 869

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms