Wednesday, October 10, 2012

.....MWANAFUNZI AFANYIA WODINI MTIHANI WAKE WAKE WA KIDATO CHA NNE.......

MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Sekondari ya Alfa Germ, Morogoro, Jessica Kiliani
(17),amelazimika kufanya mtihani wake wa kuhitimu elimu  hiyo akiwa wodini
baada ya kufanyiwa upasuaji. Hatua hiyo ilifikiwa baada ya mwanafunzi huyo,
kuomba aruhusiwe kufanya mtihani huo licha ya kuwa wodini akiugulia maumivu ya upasuaji
aliofanyiwa na madaktari wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa zaidi ya saa mbili
na kulazwa katika wodi ya wazazi namba 7B.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms