Friday, October 5, 2012

.......MH. ZITO KABWE ACHANGIA BIMA YA AFYA KWA MJANE WA MWANGOSI NA WANAWE......


KATIKA siku ya mwisho ya harambee ya kumchangia mjane wa marehemu Daud Mwangosi,
Ndugu Zitto Kabwe amejitolea kumchangia mjane wa marehemu
kwa kumlipia ada ya uanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Kijamii
(NSSF) kwa kila mwezi na kwa miaka mitatu mfululizo.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms