Wednesday, October 10, 2012

.........GEORGINA ACHANGANYWA NA PENZI LA CLEVERLEY.......

NYOTA wa tamthilia ya 'The Only Way Is Essex', Georgina Dorsett, amesema baada ya kuanza mapenzi na nyota wa Manchester United, Tom Cleverley, anaona mambo kwa mtazamo mpya.

Dada huyo ambaye pia ni mwanamitindo, alipiga picha akiwa amevaa nguo za ndani nyeupe na kusema kuwa sasa kila kitu chake ni cheupe.

Georgina mwenye umri wa miaka 28, amewaambia rafiki zake kuwa hata akikosa amani anapokuwa akifanya kazi baadaye hupozwa na Cleverley ambaye ni mdogo kwake kwa miaka mitano.

"Ninafurahia maisha nikiwa na mpenzi mpya," Georgina aliwaambia rafiki zake.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms