Thursday, September 6, 2012

......EDO AFUNIKWA NA TONTO DIKEH.....

TONTO Dikeh ameibuka kidedea katika tuzo za Muigizaji Bora za Future 2012 zilizofanyika juzi Jumapili.

Tonto alifurahi kutangazwa mshindi na aliwaambia jamaa zake wa karibu kwamba alistahili nafasi hiyo.

Kabla ya ushindi Tonto aliwaambia mwigizaji mwenzake Ini Edo ajiandae kukubali matokeo na asifanye fujo kama alizofanya kwenye shindano la mwaka jana wakati aliposhindana na Rita Dominic.

Hiyo ni tuzo ya kwanza kwa mwigizaji Tonto Dikeh ambaye amejiunga na tasnia hiyo miaka sita iliyopita.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms