Thursday, September 6, 2012

.......ASIKWAMBIE MTU NDOA NI TAMU SANA JAMANI.....


NYOTA wa Nollywood, Yomi Alore amekiri kwamba sasa anaonja utamu wa ndoa.

Yomi, ambaye alifunga ndoa na mpenzi wake Victoria Ige baada ya kuwa marafiki kwa miaka minne amesema mapenzi ya ndoa ni tofauti na yale ya urafiki.

"Sasa nina maisha ya furaha zaidi. Victoria ni mke wangu na kinachonifurahisha zaidi ni pale ninapofahamu kwamba nikirudi nyumbani nitakutana naye."

Wawili hao wanatarajia kupata mtoto wa kike na Yomi amesema kuwa mke wake akijifungua atampa mwanaye jina la Evie.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms