Tuesday, July 17, 2012

.........RIHANNA APUMZIKA BAADA MSIBA....

MWANAMUZIKI Rihanna anapumzika katika visiwa vya Barbados baada ya mazishi ya bibi yake.

Rihanna alionekana akitesa katika boti moja karibu na Barbados baada ya kumzika bibi yake Clara Braithwaite hivi karibuni.

Bibi huyo alifariki baada ya muda mrefu kuugua ugonjwa wa saratani.

Rihanna alionekana juzi Alhamisi katika ufukwe wa kisiwa hicho baada ya mazishi ya bibi yake Jumanne iliyopita.

Rihanna alilazimika kukatiza shoo yake ya Sweden baada ya kupata taarifa za kifo cha bibi yake.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms