Tuesday, July 3, 2012

.......NYWELE ZA RIHANNA NI BALAAA.....


UMESHAWAHI kujiuliza kuwa ni kiasi gani cha dola ambacho mwanamuziki Rihanna anatumia katika nywele zake kila anapoweka mtindo mpya?

Kama bado basi fahamu kuwa fedha anazotumia kubadili mtindo wa nywele zake mara moja tu, hapa kwetu unanunua Toyota Corolla.

Kila anapoweka nywele mpya kichwani anatumia dola za Marekani 3,300 (Sh 272,833 za Kenya).

Ni mara chache sana kumwona mwanamuziki huyu katika matukio mawili tofauti akiwa na aina moja ya nywele hata kama yatapishana siku mbili.

Mbunifu wa nywele wa mwanamuziki huyu, Ursula Stephen, anasema kwa kawaida Rihanna hubadilisha nywele mara 13 mpaka 15 kwa mwezi.

Hapo ni katika maisha ya kawaida, lakini kumbuka pia anaporekodi video zake hubadilisha nywele hata mara 10 katika katika video moja.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms