Monday, July 9, 2012

......MISS UTALII KINONDONI MAMBO YAMEIVA.......Meneja wa Hotel ya Travetine Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.
Mkurugenzi Miss utalii Kinondoni Bw. M ethuselah Magese akizungumza na jopo la waandishi wa habari katika ufunguzi rasmi wa shindano hilo ambalo litafanyika katika hoteli ya Travertine tAREHE 20 JULAI jijini Dar.
Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa miss Utalii kinondoni 2012 mbele ya waandishi wa habari .

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms