Friday, July 13, 2012

.......KWANGU PESA SIYO INSHU....

KILA mwanamke kabla ya kuachika huwa anataka kujua mustakabali wake baada ya hapo hasa kwenye masuala ya kugawana mali na fedha.

Lakini kwa Katie Holmes ambaye ametangaza kuwa anaachana na mumewe, Tom Cruise, hilo halikuwa kipaumbele chake.

Inaelezwa kuwa hata kabla ya kufunga ndoa, mwanamke huyo alisaini mkataba kuwa kama wakiachana hatachukua kitu chochote wala kugawiwa mali ya Tom hata alizochuma wakati yuko naye.

Holmes anachotaka ni haki ya kubaki na binti yao wa miaka sita, Suri Cruise, na si kupewa chochote katika utajiri wa mwigizaji huyo unaokadiriwa kufikia dola za milioni 20.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms