Monday, June 18, 2012

......NI AIBU KUBWA KWA KIM KARDASHIAN........

PICHA ya utupu iliyodaiwa kuwa ya Kim Kardashian, imeendelea kuleta mvutano baada ya mcheza picha za ngono kujitokeza na kudai kuwa ni ya kwake.

Awali ilidaiwa kuwa picha hiyo iliwekwa katika mtandao wa twitter na mpenzi wa staa huyo, Kanye West.

Lakini kabla ya Kanye au Kim kujitokeza kuizungumzia picha hiyo, msichana huyo alijitokeza na kudai kuwa picha hiyo ni yake na si ya Kim huku akitofautisha sehemu mbalimbali za maumbile yake na staa huyo.

Msichana huyo alijipa maujiko kwa kusema kuwa ana umbo zuri kuliko Kim

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms