Sunday, June 3, 2012

.........JUSTIN BIEBER KUSWEKWA GEREZANI.....

MWIMBAJI kinda, Justin Bieber, huenda akafungwa miezi sita jela iwapo atapatikana na hatia ya kumpiga Paparazi aliyetaka kumpiga picha huko Los Angeles.

Bieber ambaye ameshafunguliwa mashtaka, anatuhumiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali paparazi huyo aliyetaka kumpiga picha akiwa na mpenzi wake, Selena Gomez.

Paparazi huyo alipiga simu ya dharura kuomba msaada, lakini polisi walipofika Bieber alikuwa ameshaondoka eneo la tukio.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms