Tuesday, June 5, 2012

.......JESSICA ATOBOA SIRI NZITO....


MWANAMUZIKI, Jessica Simpson, ametoboa siri nzito ya kukiuka masharti aliyopewa na madaktari, mara baada ya kujifungua mwezi mmoja uliopita.

Simpson anasema madaktari walimwambia asifanye mapenzi angalau kwa muda wa wiki sita, lakini akashindwa kujizuia na anajitetea kuwa hiyo imetokana na mvuto wa mume wake.

Mwanamuziki huyo anasema alijifungua kwa upasuaji na kuambiwa ili kidonda kipone haraka, anatakiwa kufuata masharti kacdhaa ikiwamo la kutofanya mapenzi kwa muda huo.

"Ninafikiri nina mume mwenye mvuto kuliko wote ndiyo sababu ninashindwa kujizuia. Nimevunja masharti ya kutofanya mapenzi kwani baada ya wiki moja tu, nilianza kazi kama kawa," alisema Simpson.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms