Wednesday, May 2, 2012

....NGOMA HII NI KALI SANA.....

Msanii Linex wengi wanapenda kumwita  ‘Mjeda‘ ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Aifora’, ikiwa ni single yake ya 3 kuachia mwaka huu tangu uanze, ngoma yake ya kwanza kuachia ilikuwa “macho yangu juu”  baada ya hii ameachia single nyingine inaitwa “Nitaificha Wapi” single ambayo amemshirikisha msanii Diamond Ambayo inafanya vizuri sasahivi kwenye vituo mbalimbali vya redio, Linex ameachia mzingo mwingine matata sana…..hakika wimbo huu ukiusikia utakukuna sana….wimbo ambao utakuja kufanya vizuri sana, umesimamiwa na producer Fundi Samweli. Haya kazi kwenu wasikilizaji na mashabiki wa “Mjeda Linex” na mkae mkao wa kusubiri video.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms