Monday, May 28, 2012

......NATEGEMEA KUPATA MTOTO WA KIUME.....

STAA wa kipindi cha Jersey Shore, Snooki, amesema anatamani kuzaa mtoto wa kike, lakini vipimo vya ujauzito wake vinaonyesha ni mtoto wa kiume.
Snooki ambaye jina lake halisi ni Nicole Polizzi, alisema majibu hayo yamemvunja moyo kwani alijiandaa kulea mtoto wa kike.
"Kila mwanamke anatamani kuzaa mtoto wa kike kwanza, hata hivyo sio mbaya bado atakuwa mtoto wangu na nitampenda," anasema Snooki.

Aidha amesema baada ya kujifungua atamnyonyesha mtoto huyo mpaka pale atapoacha lakini baada ya hapo atafanya upasuaji wa kurekebisha matiti.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms