Barbz kutoka south africa(mwanamitindo na
mfanyabiashara)
Dkb kutoka
Ghana(mchekeshaji wa stand up comedy)
Goldie kutoka Nigeria(mwimbaji)
Mwimbaji Lady may kutoka Namibia
Mampi kutoka zambia(mwimbaji)
Rocki kutoka Zimbwabwe(mwanamuziki)
CMB prezzo kutoka Kenya (mwanamuziki)
BREAKING NEWS kutoka multichoice ni kuwa big brother afrika
inaanza jumapili itakuwa na mastar kadhaa wa afrika ambao wataingia na
kushiriki yaani sio kwa kipindi kifupi kama wengi watakavyodhani ni watakuwa
miongon mwa washiriki
Tanzania haijawekwa kwenye list kati ya mastar hao saba na hakuna taarifa yeyote a ziada lakini huenda BBA wanapanga kutufanyia suprise
Tanzania haijawekwa kwenye list kati ya mastar hao saba na hakuna taarifa yeyote a ziada lakini huenda BBA wanapanga kutufanyia suprise
0 comments:
Post a Comment