Thursday, May 24, 2012

.....KWA GUMZO MERCY NI KIBOKO......


NI staa gani wa kike wa Nollywood anayezungumziwa sana? Swali hili limeulizwa na hata kupigiwa kura.
Kuna jumbe za simu na barua pepe nyingi zilizotoa majibu, lakini waigizaji hawa wanne wameongoza kwa kutajwa.
Nao ni Mercy Johnson, Genevieve Nnaji, Omotola na Ini Edo.
Hadi sasa Mercy anaongoza kwa kura na anafuatiwa na Omotola.
Katika swali hilo, lengo jingine lilikuwa kutaka kujua wanaume huwafikiria nini waigizaji hao na nani anawavutia mashabiki wa fani hiyo.
Lakini bado mchakato huo unaendelea kwa kuwahoji waandishi wa habari za burudani wa magazeti, majarida, blogs, televisheni na watangazaji wa redio.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms