Thursday, May 10, 2012

......KATIKA PICHA NI BUS LILILOTEKETEA KWA MOTO NDANI YA MJI KASORO BAHARI (MOROGORO) JUZI........

Bus la kampuni ya MURO investment lenye namba za usajili T820 BEY juzi liliteketea kwa moto mkoani Morogoro. Habari zinasema kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika bus hilo, hata hivyo hakuna abiria yeyote aliyepata madhara  kutokana na moto huo isipokuwa mali zote za abaria ziliteketea ndani kwa moto.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms