Monday, May 21, 2012

.....HATUTAUZA SURA NG'OOOOO......


KIM Kardashian amesema hatakubali kuuza sura na mpenzi wake, Kanye West, kwa kuwa mchezo huo ulimharibia katika ndoa yake na mcheza kikapu, Kris Humphries.
Staa huyo amesema kama asingeyaanika sana maisha yake ya mapenzi, huenda mpaka leo angekuwa na mumewe Kris ambaye ndoa yao ilidumu kwa siku 72 tu.
"Sitakubali kujianika sana na Kanye West, kama atatokea kwenye vipindi vyetu vya Keeping Up With The Kardashian, itakuwa mara moja moja sana," anasema Kim.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms