Friday, April 27, 2012

.....MWENYEKITI WA CCM NA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO.......KIKAO KILICHOFIKIA MAAMUZI MAGUMU......Katibu wa NEC,Itikadi na uenezi CCM, Nape Nnauye akizungmza na wandishi wa habari jijini Dar leo, ofisi ndogo ya mako makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es salaam, kuhusu maamuzi ya kikao cha kamati kuu ya CCM iliyokutana leo jijin Dar. Nape alisema kuwa pamoja na mambo mengine kikao hiki kimebariki kuvunjwa na kusukwa upya kwa baraza la mawaziri, na kazi ya kusukwa upya kwa baraza la mawaziri inategemewa kufanyika hivi karibuni.
Source: Michuzi blog

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms