Saturday, April 7, 2012

........KIFO CHA KANUMBA CHAACHA PENGO KUBWA............

 MAREHEMU STEVEN KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE
mpaka dakika hii Lulu amekataa kutoa ushirikiano na polisi, akisema anapenda kwanza Lawyer wake afike na chochote atakachoongea kiwe recorded. Habari zaidi kutoka kwenye chanzo cha blog ya pretty sinta zinasema kuwa Lulu amekutwa na majeraha mengi sana usoni ikiashiria kuwa wawili hawa walitofautiana kwa kaisi kikubwa kabla ya Kanumba kukutwa na mauti
Ni alfajiri kabisa kama saa 12 hivi watu wengine wakiwa ndio wanaamka na wengine wakienda kulala na kupata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi chao kwenye tasnia ya filamu hapa bongo Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatcan. Chazo kinasema Kanumba alitoka kuoga na kumkuta Lulu ambaye inasemekana ni wapenzi akiongea na simu ndipo hapo ugomvi ulipoanzia mpaka kanumba kujikuta akidondokea kisogo na kutokwa na damu nyingi. Kwa sasa msanii wa kike Lulu anashikiliwa na police kwa maelezo zaidi
Watu wakiwa hawaamini kilichotokea 
Watu wakiwa maefurika nyumbani kwa Kanumba maeneo ya Sinza Vactan 
Ni huzuni kubwa sana kwa watanzania wote kama unavyomuona JB pichani 
Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu 
Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili

Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV  
Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini
H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehemu Steven Kanumba
Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu akiwa kwenye majonzi mengi 

Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingiMBUNGE WA UBUNGO-MH JOHN MNYIKA AKIMFARIJI NDUGU WA
FORMER MISS TANZANIA AND KANUMBA X - GIRLFRIEND....WEMA SEPETU-AKIWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU HUKU AKILIA KWA UCHUNGU.0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms