Tuesday, April 10, 2012

.......KATIKA PICHA MSHINDI WA SHINDANO LA ‘VAA, IMBA, CHEZA KAMA RIHANNA’ APATIKANA….......
Like Abraham ndiye aliyeibuka kidedea katika shindano la ‘Vaa, Imba, Cheza kama Rihanna’ ambalo lilifanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala  jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kujinyakulia Shilingi milioni 10. Kabla ya shindano hilo kulikuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Bambo, Mtanga na H. Mbizo.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms