Monday, April 16, 2012

.....KANUMBA KANIACHIA MTIHANI MGUMU - RAY......

 
Msanii maarufu nchini vicent kigosi ray amekili kuondoka kwa swahiba wake kipenzi steven kanumba ni mtihani mzito kwake kwani ivi sasa kila mtu jicho litakuwa kwake hususani katika kucheza filamu na watoto. Akizungumza na bbc ray amesema anajua mtihani aliopewa ni mzito lakini amesema atajitahidi kadri ya uwezo wake kuhakikisha anaziba pengo la kanumba hususani katika kucheza filamu na watoto ambao kanumba amewaacha sophia,patrick na jennifer akiendelea kusema kwamba ivi sasa ni mapema kuzungumzia ni filamu gani atacheza nao lakini amekili ni lazima amuenzi swahiba wake

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms