Xaveria Kimaro, utavyonzajeeee?
Xaveria katika pozi
Xaveria with shost, lol
Mmoja kati ya hot models in Town wa blog hii,
Xaveria Kimaro anayepiga kitabu katika chuo kikuu kimoja nchini, amefunguka na
kutoa somo la nguvu kwa wanaume.
Katika face page yake, mrembo huyu mwenye
macho ya kuvutia amedai kuwa si kwa wanaume tu bali hata wanawake pia
wanahitaji kuheshimiwa. Aliongeza kwa kusema kuwa mwanamke havutiwi na muonekano
pekee wa mwanaume husika bali upendo wa dhati, hata hivyo alidai kuwa mwanamke
pia anahitaji mwanaume atakaye mpenda na kumjali.
0 comments:
Post a Comment