Wednesday, March 14, 2012

....... ZILIPENDWA KURUDI KIMUTINDO.......HAHAHAHA......

FILAMU ya kwanza kurekodiwa Swahiliwood ya Maridadi, itasambazwa upya.

Filamu hiyo ilitengenezwa mwaka 1993 kabla ya kuanza kuonyeshwa mwaka uliofuata.

Watu wengi hawajui kama Varda Arts nao ni wasanii wanaoigiza filamu na ndiyo walioanza kutengeneza filamu ya Kiswahili na kukubalika hadi kuonyeshwa katika majumba ya sinema, alisema Aziz Varda.

Lakini jambo la muhimu kwetu ni kuileta filamu hiyo kwa jamii na kulinganisha na filamu za sasa.

Filamu hiyo imewashirikisha wasanii kama Said Wangamba Mzee Small, Alexandre Chimwela Toni Yunus Varda na wengineo.
Baada ya filamu hiyo, kundi hilo lilitoa pia filamu mbili za Kasheshe na Monica.

Maridadi ambayo sasa inasambazwa upya na kampuni ya Steps Entertanment, ni filamu iliyochezwa kwa mchanganyiko wa wasanii wa Kihindi na Kiafrik

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms