Friday, March 9, 2012

............WEMA ANG'ATA, ASEMA HATEMBEI NA MME WA MTU........

'Sitembei na mume wa mtu' waniache mtoto wa watu sitaki fujo mie.........
Ile skendo ilyopelekea Wema kufanyiwa fujo ya nguvu ameikana kwa nguvu zake zote. Wema amedai kuwa hatembei na mume wa mtu na amemushangaa sana huyo mwanamke aliyemfanyia fujo Wema kwenye pub moja jijini Dar. Wema anadai kuwa alienda kwenye pub hiyo kwa ajili ya kuangalia location ya kurekodia filamu yake lakini akiwa hana hili wala lile ghafla alivamiwa na mama huyo na kuanza kushushiwa matusi na fujo ya kufa mtu. Kwa sasa Wema anadai kuwa mama huyo amemfikisha polisi ili haki itendeke...

1 comments:

Anonymous said...

Kama kweli umeiba mke wa mtu achana naye kwasababu unayaweka maisha yaki rehani. Mume wa mtu ni sumu

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms