Monday, March 12, 2012

.........MKITAKA NIIFUNDISHE GHANA NILIPENI KIASI HIKI CHA PESA.......

kocha wa zamani wa Brazil Carlos Caetano Bledorn Verri (Dunga) mwenye umri wa miaka 48, amewea wazi kiwango cha pesa anachohitaji kulipwa kuifundisha timu ya taifa ya GHANA.
Dunga amesema anataka kulipwa dola za kimarekani elfu 50 kwa mwezi, mkwanja ambao ni sawa na milioni 77 na laki 5 za kitanzania.
Kupitia OMG, Dunga Ameamplfy kwamba kwa mshahara huo, ana uhakika ataiwezesha Ghana kucheza kombe lijalo la dunia.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms